Proverbs 8:15-16


15 aKwa msaada wangu wafalme hutawala
na watawala hutunga sheria zilizo za haki,

16 bkwa msaada wangu wakuu hutawala,
na wenye vyeo wote watawalao dunia.
Copyright information for SwhKC